Binafsi kwenye game hizi na mtani wakicheza Vin,Mbape na Bell tayar tushacheza pungufu na team inakuwa haijabalance...hapa leo ninahisi tunapigwa tena tukikaa vibaya ni 2 kupanda juu.