Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nyie masolokoto kuanzia kesho mtatulipa pound laki tatu na nusu kila siku mpaka mkataba wa TAA uishe mlidhani mtampata bure 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenge nyie mukome
 
Alvaro Carreras ndiyo target kwa upande wa LB na kwa upande wa viungo inasemekana Alonso amempendekeza Angelo Stiller.

Tusubiri tuone.
Huyu Angelo sijawahi kumfuatilia., ila tunahitaji viungo wawili, Alonso anataka apige ramli kama Ancelloti, ama anataka Nico Paz akae pale juu? Maana kuna tetesi kuwa club itamrudisha.,
 
Huyu Angelo sijawahi kumfuatilia., ila tunahitaji viungo wawili, Alonso anataka apige ramli kama Ancelloti, ama anataka Nico Paz akae pale juu? Maana kuna tetesi kuwa club itamrudisha.,
Naona wanampango huo, katika mechi 35 alizocheza amehusika katika magoli 14, magoli 6 na assist 8.

Tuendelee kusubiri.
 
Upande ule yupo Mendy na Fran Gracia.
Pameji tosheleza.
Mbona kama unatuombea tena mabaya Mzee., Mendy majeraha yamemuandama kweli kweli, huyo Fran Garcia hata hasomeki, mbio nyingi na nguvu ila ufanisi ni mdogo., so anahitajika beki akienda kushambulia aonyeshe kitu na akizuia aonyeshe kitu.
 
Madrid wamefanya kituko kabisa, walishindwa kusajili beki January, wamelipa 10 milion kwa Liverpool kwa ajili ya Club World Cup. kwa kweli managment ya timu msimu hawakuupa umuhimu kabisa.
 
Kenge nyie, hivi ilikuaje mkamuuza Hakimi ?

Kijana wenu mbappe anakimavi na UEFA, ameondoka wenzake wanabeba, mmeongeza na kimavi kingine TAA aje kuwachoma
 
Amkeni ,hiyo ni ndoto,na next year sisi Barca tutawatesa sana nyie Mbuzi wenye rangi nyeupe 😂😂
Sema huwa mnafurahisha sana vile mnaacha uzi wenu na kuja kupiga kelele huku, hii inadhihirisha ukubwa wetu.
 
Huyu yamal atamkimbiza mbape spain
😀😀

Nachek game france vs spain

Hawa negro wa ufaransa wanabutua tu😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…