Ya Raul niliisahau, ila jamaa ameondoka Castilla, kwangu nimeona ni jambo jema, maana akipata team za ligi kuu ataongeza maarifa zaidi, ninadhani alidhani kuwa angemrithi Ancelloti ila imekuwa tofauti., ninaamini atakuja kupata nafasi ya kuifua Real Madrid huko mbeleni.