Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,662
Counter yenyewe Mbappe anafosi afunge yeye Vini nae ivyoivyo bora Rodrigo hao jamaa wawili wanauchoyo sometimesHawezi kuoffer zaidi ya hapo, na kupita hizi backline za atletico inahitaji kiungo mbunifu otherwise tuendelee kutegemea counter attack tu.
Baada ya kuona matokeo yetu arsenal wenyewe wanajutaEmirates wanasubir….wazee wa teta ball
Quater final ni April?!Baada ya kuona matokeo yetu arsenal wenyewe wanajuta
Diaz amenikumbusha ule msemo;Mbona mkuu Diaz kajitahidi kucheza vizuri tu kwa nafasi yake, waliotuangusha leo ni cama na Tchouameni wameshindwa kulink vizuri na defence, Kuna mda unaona valverde kabisa anapambana mpk anazidiwa no backup
Their level is FA cup. Huku tunawawazia mabigwa wenzetu wa UEFA.Emirates wanasubir….wazee wa teta ball
Atletico ni wabishi sana, tuliwafunga ila hatukucheza vizuri sana, labda kwenye second leg tutaimarika zaidi ukizingatia kuwa Bellingham atasimama kwenye mid pia, na bahati nzuri sie hatuna kwetu wala kwao, Ninaamani katika Ushindi.Hàtimae tumewafunga hawa jamaa tumewawinda mda mrefu wanachomokea kwenye sare
Nilikuwaga najiuliza imekuwaje Valverde amepewa u captain Jana ndio nimeelewa.Napenda nidhamu ya Rodrigyo na Valverde.
Hawanaga time na marefa
Na ndio wachezaji wanaopigaga kazi zaidi.