Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Sana Mkuu., ndio tunaaga La liga hivyo mdogo mdogoTumestahili kupoteza hii mechi tumecheza hovyo
Mkuu Cesar Caspar matokeo mechi ya betis imeniuma sana.Jamaa wamesawazisha.,
game inaisha sare hiiKuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Hiki kiungo chetu Cha Brahim, Tchouameni na Cama kinatia mashaka sana.Kuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Daah hii game labda tutegemee counta.Kuna mabadiliko kidogo kwenye game ya leo, kati kati ya Uwanja atasimama Tchouameni na wenzie Camavinga na Brahim, game iliyopita Brahim alipotea sana, sijui leo itakuwaje.
Inabidi tuwaachie mpira Tiko tiko then tupige caunta tu.Hiki kiungo chetu Cha Brahim, Tchouameni na Cama kinatia mashaka sana.
Rodrygo ni mzuri kucheza hapo zaidi ya Brahim, acha tuone kama watakuwa wanapokezana, ila kwa aina ya team kama Atletico, tunahitaji watu wenye akili nyingi sana hapo kati.Daah hii game labda tutegemee counta.
Maana hatuwezi kumiliki mpira kupitia camavinga na braihim ni mzuri akicheza pembeni sio kwenye playmaking
Kama ndo umebet hivyo ndugu ushaliwa.game inaisha sare hii