Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Trust Camaving to commit a stupid foul always. Anacheza faulo za kifala kila muda bila sababu za msingi. Kila dakika yupo chini anaanguka anguka tu na tackle za kifala. Akipunguza tackles zake atakuwa bonge ya mid until then camavinga bado sana.

Kante, Seedorf, Rodri, Busquet walikua mids wazuri sana ila you never saw them slide tackling almost never.
 
Numbisa njoo na highlight zako tafadhali.
IMG-20250220-WA0007.jpg

KM9 ⚽⚽⚽
 
Yuko wapi yule aliekuwa hapa anaongea shit eti Asencio sio beki kwasababu hajanunuliwa kwa milioni nyingi?
Yule mwamba Madridista wenzetu lakini hajui mpira kabisa

ni wapi mimi niliongea Asensio sio baki? hivi nyinyi kwanini munapenda kuna manipulate maneno?
 
No mwamba anakuwaga na mawazo yake different. Last year alikuwa anatwambia Bellingham hamna kitu

na nyinyi mulikuwa munasema ndio best player in the world. vipi bado munaendelea kusimama na maneno yenu?
 
Back
Top Bottom