hao wengi ni vijana wa ovyo kuwazingatia ni uwendawazimu, hao ndio waliokuwa wanamtukana Mbappe toka msimu ulipoanza, sasa hivi bila ya kukosa aibu wame switch upande. usishangae kuwakuta wanakwambia Bellingham ndio mchezaji bora duniani. majuzi tu niliwaona wanamwaga povu wanataka Perez out.