Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu Mbappe anashida mahali, sio kawaida kiukweli.

Game yake itabadilika tu, nakumbuka kuna watu walikuwa wanadai auzwe Benzema abaki Higuain. Kilichosaidia ni kwamba Perez ni mvumilivu sana, mpaka leo hii Benzema ni legend.
Au unakumbuka jinsi tulivyomvumilia Vinicius Jr mpaka akaipata game yake? Vini aliku anakera
 
Vinicius ilikuwa ni kituko, aafanya kazi nzuri, halafu anatoa boko pasi ya mwisho, kuna wakati mpka Benzema akamuona kama mpinzani.,
Acha huyu Mbappe na yeye tumpe nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…