Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wapuuzi nyie hamna timu, Dunia itawakomesha mwaka huu Pumbavu zenu huu mwaka hata Copa del ley hampati.
 
Ni vipigo tu kwenda mbele tena hapo hapo nyumbani kwenu Shenzi taipu, Barcelona huu mwaka tunabeba La liga na Copa del ley, Hata Uefa watu wakijichanganya tunapita nalo.
 
Mtanyooshwa mwaka huu mpaka mkome mlijikuta sana Kulia kupokezana na kama mnavyojuaga Barca huwa akijipata basi La liga huwa watu wanacheza kukamilisha ratiba tu maana Bingwa ni yeye,

Huku Uefa ndo hata msiwekee ndoto mechi mtakayokutana na Liverpool heri Tv zigome kuirusha live hiyo mechi maana Kubwa Buyu( Real madrid ) atapigwa kama Punda aliyemdondosha mfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…