Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Super cup tunaweza kutana na barca tena, UCL tunaweza kutana nae tena. Nimesikitika sana mbinu za long balls ambazo huwa tunaxitumia kumuuwa barca and other european giants ndizo walizitumia jana barca kutuuwa. Hongera sana HANS FLICK.
Siku sio nyingi tutakutana tena.
Kikosi chetu kipo kwenye transition bado.
HALLA MADRID
 
Ukweli unabaki kuwa mbinu za Ancelot zimefika mwisho, na wachezaji almost ni wale wale, Mbape bado ni mchezaji mzuri, anahitaji mbinu mpya. Nafikiri Madrid inahitaji kocha mpya, falsafa za Ancelot zimefika kikomo katika kuamua mchezo.
Kumbuka majukumu ya wachezaji wetu wengi yamebadilika. Bellingam alivyotumika last season leo anavyotumika, Valverde nae hivo hivo. So tumpe muda. Alichotupa don CARLO ni vingi sana
 
Kumbuka majukumu ya wachezaji wetu wengi yamebadilika. Bellingam alivyotumika last season leo anavyotumika, Valverde nae hivo hivo. So tumpe muda. Alichotupa don CARLO ni vingi sana

Perez amekuwa hamtendei haki kabisa Carlo, msimu watatu huu ana dai central defender ila ananyimwa, ame demand no 9 pia ameshindwa kumpatia. ametaka left back hajapewa, Perez yupo Bzy na signing za Kibiashara zaidi pamoja na free transfers.
 
wapo wanao straggle kama Grealish, Nunes na wapo wengi waliowatoa kama Philips, Jesus, Torres, Laporte, Bravo
Aliesajiliwa akiwa Top player hapo ni Greakish tu.

Matatizo ya watoto wa kiingereza najua unayajua Vipaji 0 maneno mengi.
 
Perez amekuwa hamtendei haki kabisa Carlo, msimu watatu huu ana dai central defender ila ananyimwa, ame demand no 9 pia ameshindwa kumpatia. ametaka left back hajapewa, Perez yupo Bzy na signing za Kibiashara zaidi pamoja na free transfers.
Kama ni ya kweli haya basi babu bado ni tatizo.

Kwa cv yake sio wa kupelekwa pelekwa hivyo akakbali.

Mbona zidane walitaka kuchanganyia mambo akaondoka.
 
Kama ni ya kweli haya basi babu bado ni tatizo.

Kwa cv yake sio wa kupelekwa pelekwa hivyo akakbali.

Mbona zidane walitaka kuchanganyia mambo akaondoka.

Thats Real Madrid mkuu, Kocha huwezi kuwa juu ya club, club ina vision yake unatakiwa uifate, na ndio mana Carlo ndio Best for Madrid mana anaweza kua adjust vyovyote club inavyotaka. Makocha wakisasa wa mifumo amabao lazima wanahitaji wachezaji wa aina maalum kuweza kufit kwenye mifumo yao wengi sana wanaweza kushindwa.
 
Wampe Raul sasa naona yupo Castilla huko Anapasha. 😁
 
Tatizo liliotukumba na linaloendelea kutukumbuka ni nidhamu kwenye Ulinzi, wakati wa Ramos na hata Alaba walikuwa wanaweka kabisa line, hutakiwi kuvuka huo mstari, ila kwasasa hakuna wa kumwambia mwezie hilo jambo, tulifungwa magoli mawili kutokana na hiyo hali, la kwanza kupitia kwa Mendy, na la pili kwa Vazquez.
Ancelloti ni kweli ametupa vingi, ila ana shida moja tu hajui kubadilika na wakati., ana ile hali ya kutokubali kubadilika aka kumuamini mchezaji hata kama hana anachompatia., hao vijana tulionao wana uwezo mzuri tu kama watapata mtu sahihi wa kuwatumia inavyotakiwa, shida inatokea ni kuwa kuna baadhi itabidi waanzie bench, hapo ndipo Ancelloti anapokuwa muoga.
 
Mfano kwa hali aliyonauo saivi mbappe sio wa kuanza Mechi..

Anatakiwa aingie second half kipindi ambacho amefunguka kushambulia na 4;3;3 yake.

Wapinzani wamerudi nyuma wanalinda mbappe ndio anaingia na energy yake.

Ila mzee hajiongezi anamuanzisha kila siku na hakuna kitu ana -Offer.
 
mitandao inavituko sana, kwa hiyo unataka Mbappe aekwe bao?
 
mitandao inavituko sana, kwa hiyo unataka Mbappe aekwe bao?
Mbona Rodrigo anakaa mzee..

Kumuweka bench haina maana kua ni mbovu ila kuna ile kumrahisishia yeye kufunga ili kumrudisha kwenye hali ya kujiamini.

Real Madrid hawatengenezi nafasi nyingi kipindi cha kwanza...

Ni wazi wanakaba na kumsoma Adui Kipindi cha pili ndio wanamaliza game.

Inahaja gani kuanza na mbappe hapo.
 
Kenge nyie ie ni mwendo wa za uso tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Enzi za kununua tuzo zimeisha yaaaani nafurahi sana. Nawachukia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…