Fermin Lopez huyu huyu ambae thamani yake haifiki hata euro m 50?
Kwahyo walowatoa Musiala, witz, Gernacho, Palmer, Diaz , Bellingham Greenwood, Camavinga, Tshuaminen wasemaje?
Au wote hawa hawakutoka academy?
Au walitoka La masia?
Wewe jamaa unajua mpira kabisa.hakuna mchezaji mmoja anaeweza kuipa kombe taji la world cup au hata kuipeleka world cup timu, football ni team game na sio mchezaji mmoja, ila je performance zao wao kama wao haziridhishishi? unauliza goli 80 zimeinufaishi nini poland? ni mashindano mangapi ya kimataifa Poland imeweza kushiriki ikiwa na lewa ndani yake? hayo magoli 100 wanaiyosifiwa messi na ronaldo unayajua na wao wameyafunga kwenye mechi ngapi?
Vini na rodrygo waamekuwa waki perfume poor ndani ya Brazil hilo halina utetezi mkuu.
Nimemruka kwa sababu yeye ndio top talent pekee kwa sasa tokea la masia.mbona yamal unamruka kutika masimulizi yako? na kwa kujalizia tu kuna Pedri, Gavi, Balde
Nimemruka kwa sababu yeye ndio top talent pekee kwa sasa tokea la masia.
Huyo pedri hajakulia la masia, Bali kasajiliwa na kwenda barca ya wakubwa.
Hao kina Gavi wa kawaida tu kama ilivyokua Dani Ceballos huwezi kuniambia ni most talented player
Ndio sababu na mm ninekutajia top talent mmoja mmoja ambao wamezalishwa academy tofauti totauti na hazitajwi kama wewe unavyosema et la masia is the Best Academy of the world now.
kwa kutoa mchezaji mmoja!!!!
Kabisa mkuu naona leo tunamiliki Eneo la kati angalau na Michakato ya kutafta nafasi inafanyika.modric akiwemo uwanjani timu inakuwa nyengine kabisa
Kaka upo kama mimi hawa mbwa siwapendi mnoo, msimu huu wasipoambulia kombe lolote nafanya tafrija fupi hapa nyumbani Kwangu,NAwachukia sana nyie kenge.Wakitoka Ccm, shetani na polisi wa tz mnafata nyie kwa kuwachukia.
Kumbe tupo wengi🤣🤣🤣🤣Kaka upo kama mimi hawa mbwa siwapendi mnoo, msimu huu wasipoambulia kombe lolote nafanya tafrija fupi hapa nyumbani Kwangu,
Na nitaarika watu nawaambia nasherehekea Uzima na afya njema ila moyoni nitakuwa najua ukweli wa nachosherehekea.