Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

😅
 

Attachments

  • FB_IMG_1724480674550.jpg
    FB_IMG_1724480674550.jpg
    52.3 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1724480665288.jpg
    FB_IMG_1724480665288.jpg
    49.1 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1724480656990.jpg
    FB_IMG_1724480656990.jpg
    50.8 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1724480650819.jpg
    FB_IMG_1724480650819.jpg
    67.8 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1724480643152.jpg
    FB_IMG_1724480643152.jpg
    41.1 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1724480633620.jpg
    FB_IMG_1724480633620.jpg
    49 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1724480623981.jpg
    FB_IMG_1724480623981.jpg
    60.3 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1724480616979.jpg
    FB_IMG_1724480616979.jpg
    48.4 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1724480608908.jpg
    FB_IMG_1724480608908.jpg
    52 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1724480598483.jpg
    FB_IMG_1724480598483.jpg
    53.5 KB · Views: 11
Bado team inajitafuta sana., bado haieleweki, nilidhani kuwa Arda Guler angecheza juu ya Valverde na Tchouameni, ila na yeye ninaona anatokea sana pembeni, ni afdhali Brahim angeanza kisha Rodrygo akacheza chini ya Washambuliaji ana angecheza Dani Ceballos.
 
Bado team inajitafuta sana., bado haieleweki, nilidhani kuwa Arda Guler angecheza juu ya Valverde na Tchouameni, ila na yeye ninaona anatokea sana pembeni, ni afdhali Brahim angeanza kisha Rodrygo akacheza chini ya Washambuliaji ana angecheza Dani Ceballos.
Embu ngoja tuone maana match ya pili hii tunaona mauza uza bado team haijasimama. Wakati sio team mpya sana.
 
Tupo uwanjani leo.

Mechi zetu zinasubiriwa kwa hamu sana hasa na maadui zetu.

Furaha yao tuteleze ndio wacheke.
 

Attachments

  • FB_IMG_1724936698421.jpg
    FB_IMG_1724936698421.jpg
    39.3 KB · Views: 11
Tume pangwa na nyie kenge pori. nilikuwa nasubiri hii siku hatimaye imekuja. NAsemaje Mtaeleza yani mlizoea kumuonea Babu klop saivi nawakomesha. Nawachukia sana real madrid akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Back
Top Bottom