Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nimescreen shot hii comment. Mkuu umeweza kuchambua kitaalam. Ila jana kijana wako JUDE hajaperfom vizur. Pengine seasonal fatique. Tumpe muda.
 
Nimescreen shot hii comment. Mkuu umeweza kuchambua kitaalam. Ila jana kijana wako JUDE hajaperfom vizur. Pengine seasonal fatique. Tumpe muda.
mim sikatai kwamba mchezaji hawezi kuperfom vizuri shida kubwa ni kwanin tumekaa tunasubiri mchezaji akosee tupate pa kusema kwanin tusifrahie ushindi wa timu kuliko kuaza kujadili makosa ya Jude yule bado ni kijanaa apewe mda atafikia tu peak yake
 
Mechi nyingi tu zina controversy. Tatizo ikishakua ni Madrid issue inazungumzwa sana. Kuna vyombo vya habari, team na pundits wanaumia sana mafanikio ya madrid.
Mechi za Bayern vs Madrid nyingi huwa hivi, hasa ukizingatia zinakutana hatua za nusu fainali au robo hivyo huvuta macho ya wengi.
 
mkuu kwanini munaumia na mimi kutoa mawazo yangu? kila mtu uwanjani anafanya jitihada, kwa hiyo hapa hatupu kwenye kzuungumzia jitihada, nimezungumza performance nzuri na sio jitihada.
Kwamba wewe unajua mpira kuliko Perez na Ancellot?
 

kwa hiyo ukishabikia timu lazima ushabikia kila upuuzi ndani yake? utetee kila upuuzi? mimi sio mnnafiki siwezi kupambia kitu eti kwa kuwa kitu kipo kwangu wakati nakiona hakistahiki hayo mapambio.
 

mkuu matusi yote ya nini hayo? mbona una panic? usije ukavunja simu mkuu
 
Kweli haujui mpira au hua haungalii mpira, kaangalie Man utd ilifungwa goli 4 Onana kafanya saves ngapi

Dah umeanza na kumsifu onana? wapenzi wa Man Utd wanaweza kukutia kibao mbele yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…