Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,370
- 80,205
tatizo ni uzeeNeuer kabana sana mwisho kaachia mwenyewe 🤣
Na ndio kilichomua thomas kuna mda alikua anaamini mechi imeisha wakati game ilikua mbichi kabisaMimi naona bado makocha wengi wataendelea kupokea vipigo vya dakika za jion nakushangaza hapa Bernabeu kwa sababu akili ya wadau wote wa madrid tunaamini mechi imeisha pale refa anapopuliza filimbi yakumaliza mchezo.
Ndo maana naamini kuwa "pale ambapo timu pinzani inaona imeikamata madrid katika mchezo,basi ukwel ni kuwa timu hiyo ndio imekamatwa na madrid imeilazimisha hiyo timu icheze hivyo ili madrid aweze kupata ushindi",
Matokeo ya namna hii yenye msisimko hayaji bahati mbaya wala bahati bali ndio tabia za club bora dunian namna inavyouendea mchezo nakutaka matokeo.
kuna mchezaji wa bayern alibakia nyuma joselu akamtegea akamaliza kaziTuambie waliua offside kivipi? Elezea tukusikie, watu wanajua football humu
Jisemee wewe, Buyern Munich ana hela ila si kwa Real Madrid.We jamaa umeangalia mpira gani? Wabongo kwa zengwe tumewazoea. Halafu nani kakwambia Bayern Munich hawana hela au unaota?
yani watoto awo wa shule unatamani wakutane Na Real madrid mbona una leta utani sanaNatamani sana kuona mechi kati ya Bayer Leverkusen na Real Madrid, sema ndo hivo hawawezi kukutana
Sawa, sihangaikagi kubishana na Mtu ambaye ana mahaba badala ya akili.Wewe sio Real Madrid wala nini, kwanza hata football yenyewe huijui, okay tuelezee unataka kusema nini? Tuambie hii mbeleko ikoje?
Ni watoto ila wana mpira mzuri piayani watoto awo wa shule unatamani wakutane Na Real madrid mbona una leta utani sana
Sawa, sihangaikagi kubishana na Mtu ambaye ana mahaba badala ya akili.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Achana na mapang'ang'a hayo ! Eti madrid kashinda sababu ana pesa.We jamaa nenda kalale, kesho ukiamka machungu yatapungua.
caKuna mtu anaitwa Modric..JINI ...
Champions leauge sio sehemu ya majaribio ya watoto wew unazani kipara uwa anapenda kukuna kichwa kila mda akikutana na carloNi watoto ila wana mpira mzuri pia
Waambieni kwamba hawapaswi kuamini kuwa wameshinda mpaka wahakikishe refa amepiga filimbi na wachezaji wote wa Real Madrid pamoja na mashabiki wawe wametoka uwanjani.
kama umeweza kuuliza swali kama hilo maana ake huwa hutazami mechi za Real madrid na bado ujajua vizuri Mbappe anacheza nafasi zipi uwanjani kiufupi wote wawili watacheza na Vin ndio atakua mpishi mzuri wa MbappeSidhani kama Mbape anaweza kuja kumweka benchi Vin
kwahiyo mpaka sasa ballon dor tumpe nani?
Kweli refa alipiga filimbi, filimbi ya mbelekoWaambieni kwamba hawapaswi kuamini kuwa wameshinda mpaka wahakikishe refa amepiga filimbi na wachezaji wote wa Real Madrid pamoja na mashabiki wawe wametoka uwanjani.
HalaMadrid!