Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Next week tupo na BAVARIANS.
Sisi tunaweza cheza michezo yote. Long passes tukiwa tunacheza na clubs kama BARCA, au CITYZENS.
Ila tukicheza na timu zonazopiga long passes kama BAVARIANS, CHELSEA, LIVEEPOOL na wengine tunabadilika tunapiga short passess mpira wa pasi fupi fupi nyingi.
Hopefull tupo fainali tukicheza kwa nidham bila kuingia na matokeo mkononi
 
Kucheza kwa nidhamu na kum-heshimu mpinzani ni muhimu kweli kweli, sioni vijana wakiingia na matokeo uwanjani, ila hari ya kupambana.,
 
Kweli kabsaa
ivii Hii mechi tutamkosa tena Tshouamen?
 
Kweli kabsaa
ivii Hii mechi tutamkosa tena Tshouamen?
Hapana, atakuwepo man., hata Courtois amerudi kwenye kikosi, sijui kama atacheza ama vp Ancelloti ndie mwenye maamuzi.

REAL MADRID SQUAD:
Goalkeepers:
Courtois, Lunin, Kepa.
Defenders: Carvajal, Militão, Alaba, Nacho, Lucas Vázquez, Fran García, Rüdiger, Mendy.
Midfielders: Bellingham, Kroos, Modrić, Camavinga, Valverde, Tchouameni, Ceballos, Arda Güler.
Forwards: Vini Jr., Rodrygo, Joselu, Brahim.
 
Bayern Munich kwisha habari yao
 

Bayern inachukuliwa dhaifu kutokana na uwezo mdogo alioonesha kocha wao, ila ni timu yenye wachezaji wenye uwezo mkubwa sana wanaoweza kuamua game individually, Sane, kimmich, Musiala, Davis ao watu ni hatari sana wanaweza kufanya lolote mda wowote. Panatakiwa umakini wa hali ya juu kabisa.
 
Ndoivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…