Kipindi cha kwanza kimeisha, kiukweli hatujacheza vizuri, vijana wamekosa umakini sana haswa kwenye ukabaji wa mipira ya adhabu, watu hawaruki sijui shida ni nini.,
Hatuna watu sahihi wa kufanya hiyo kazi Mzee, Mipira mingi inadondokea kwa Vini na yeye huwa hana pasi za mwisho nzuri kwa wenzie., hapo labda Ancelloti amrudishe kati na Rodrygo atokee kushoto.
Rodrygo, what a player.Pulling strings hapo mbele, kulia na kati. His partnership na Vini ni kitu hatari sana. Ujio wa Mbappe kila nikiufikiria, naona next season, maji yataitwa mma.
Kuna watu wanapenda kuota sana humu ndani na majukwaa mengine. Eti Auzwe Vini kwa ujio wa Mbappe. A fully fit Vini anaanza mechi zote za Madrid.
Same na jukwaa la Liver, kuna wadau nao huwa wanaota Bradley aanze mbele ya fully fit Trent. Its insane
Hatuna watu sahihi wa kufanya hiyo kazi Mzee, Mipira mingi inadondokea kwa Vini na yeye huwa hana pasi za mwisho nzuri kwa wenzie., hapo labda Ancelloti amrudishe kati na Rodrygo atokee kushoto.
Sasa Carlo hii Sub mbona haionekani kama ina akili...umemtoa Rodrigyo na sasa unamtoa Vin,nani wakupunguza hapo mbele..hii maana ake amekubali kurudi nyuma tushambuliwe tu,naona karidhika na draw..na tutapigwa kisirudi.