kinapigwa Usiku wa leo Kati ya Real Madrid anaeongoza ligi akiwa na points 78, anakutana na FC Barcelona wa pili kwenye msimamo akiwa na points 70,
Ni msimu 2023-24 wa La Liga,
Match ikiwa ya round ya 32,
Barcelona wanaweza kuwakosa Gavi, na Alejandro Balde,
Real Madrid nao pia watawakosa Thibaut Courtois na David Alaba,
Mechi inapigwa leo April 21, 2024, Saa 4 kamili Usiku Kwa Saa za Africa mashariki,
uwanja ni Estadio Santiago Bernabéu, Madrid Spain
Mwamuzi wa Kati atasimama César Soto Grado,
Kwenye VAR Huko wataongozwa na msimamizi José María Sánchez Martínez.
"Kama kawaida Tunataka points 3 na tunataka Vibes kwahyo Uwanja kufunika mi uhakika.