Tulichoona kwa Lunin mpka tukamsajili, leo amekionyesha.
Sikuwa na wasi wasi nae kwenye ishu ya penalty.
Yule msimu ujao atachoka sana inabidi atafutwe replacement yake mapema aingie kwenye mfumoCarvajal upande wake ulikuwa vizur kabla ya Doku sema alipewa mtu msumbufu sana Doku amesumbua sana ule upande ni mbishi mno sema walau hata hao walio baki tunaweza bishana nao City ni msumbufu sana
kuna za chini pia ata Hakim anatakiwaYule msimu ujao atachoka sana inabidi atafutwe replacement yake mapema aingie kwenye mfumo
Yule msimu ujao atachoka sana inabidi atafutwe replacement yake mapema aingie kwenye mfumo
Luka alivyoingia timu ikawa na uhai kidogo sasa mbele yake angewapata vijana Mbappe,Vin, Rodrygo asee timu ingekuwa ya motoNakubaliana na nyie wadau,kuna maeneo yanatakiwa tufanye usajili wenye akili,eneo la beki kulia na kushoto,eneo la kati bado pia kazi ipo..kwa mfano leo Bell game ilimkataa hata game iliyopita,hawa wakongwe wetu kina modric na Ton unaona kabisa wanahitajika yaan.
Luka alivyoingia timu ikawa na uhai kidogo sasa mbele yake angewapata vijana Mbappe,Vin, Rodrygo asee timu ingekuwa ya moto
Nmesikia Mbappe kaomba akija aje na Hakimi kama itakuwa ivyo itapendeza uyu ni beki wa kulia mzuri tu
Kakiwasha lakin usumbufu wa Doku ukamfanya asipandishe mashambuliziYeah nikwel coz jamaa ni Senior pale tangu msimu wa 3 Consecutives UEFA trophies...umri umesogea japo kwa mech ya leo wakongwe wamepambana, ila nimefurah sana Lunin kufanya vile amempunguzia Luca Mawazo
Hata Taa aje Tu za na pale Kwa Alonso kuna fullback za maana Tu piaLuka alivyoingia timu ikawa na uhai kidogo sasa mbele yake angewapata vijana Mbappe,Vin, Rodrygo asee timu ingekuwa ya moto
Nmesikia Mbappe kaomba akija aje na Hakimi kama itakuwa ivyo itapendeza uyu ni beki wa kulia mzuri tu
Na ndio maana kipara akafanya Sub ya Stone na Kova ili kurudisha uhai kweny kiungo cha City na Kweli walivoingia tu City akabadilika Tena wakati tulikua tushamkata kipara ni mjanja sana ila leo kakutana na MasterLuka alivyoingia timu ikawa na uhai kidogo sasa mbele yake angewapata vijana Mbappe,Vin, Rodrygo asee timu ingekuwa ya moto
Nmesikia Mbappe kaomba akija aje na Hakimi kama itakuwa ivyo itapendeza uyu ni beki wa kulia mzuri tu
Hata Taa aje Tu za na pale Kwa Alonso kuna fullback za maana Tu pia
Na ndio maana kipara akafanya Sub ya Stone na Kova ili kurudisha uhai kweny kiungo cha City na Kweli walivoingia tu City akabadilika Tena wakati tulikua tushamkata kipara ni mjanja sana ila leo kakutana na Master
Toni nimemuona wakati anafanyiwa sub tu, alifichwa sana leo.Toni
Kipara leo kakutana na MasterGuadiola vs anceloti😃
View attachment 2966885
yap yani hapa tuki mngoa huyo dogo hakim hapo psg na mbappe basi beki mmoja wa kati nq kiungo mmoja ball carrier kama modric + kroos mbele mbappe na rodrgo basi tupo on topkuna za chini pia ata Hakim anatakiwa