Anajituma sana huyu m Sierra Leone mjerumani.Jamaa anadefend to the last huyu mwamba ni beast
Hawa jamaa wangetutoa tena na msimu huu ingekuwa dharau asee.Dah!mwanangu,mtu unakamua mechi huku umesimama aisee
Ndugu hakuna njia nyingine ya kudeal na guradiola zaidi ya hii , cha msingi tuu uwe na watu wenye ambition na ambao hawakosei , game iliyopita uliona timu ilifunguka na matokeo yake tuliona , ilikuwa ni risk leo kufunguka mana ungepigwa nyingi na uwezo wa kuzirudisha ni unpredictable.... Sema hii mbinu ya kimorinho mourinho lazima mlale na viatutujipange tena kwa msimu ujao still anceloti has to go
Madrid needs a new tactical man to fight with pep bila hivo tutaishia hapa hapa na kutegemea miujiza na historia
Na hivi last weekend tumeshikwa, maumivu ni mengi Mkuu.Hahaha., tumewarudishia sasa mtu wenu mkapambane huko sasa., shida mtaweza kumzuia asichukue Kombe?
All in all tumevuka tukutane na Bayern sasaNdugu hakuna njia nyingine ya kudeal na guradiola zaidi ya hii , cha msingi tuu uwe na watu wenye ambition na ambao hawakosei , game iliyopita uliona timu ilifunguka na matokeo yake tuliona , ilikuwa ni risk leo kufunguka mana ungepigwa nyingi na uwezo wa kuzirudisha ni unpredictable.... Sema hii mbinu ya kimorinho mourinho lazima mlale na viatu
Hiyo statement ya "It is Madrid against the world" imenikumbusha aliisema Zidane kipindi anaingia Uefa Champ finali kwa mara 3 mfululizo. Statement moja ya kutia morari wachezaji kwa kiwango cha juu sana.hiii
City walizani wanacheza na Vijano wao wa ligi ya Mbuzi ArsenalRudiger ana sura ya kijambazi
View attachment 2966849
Mkuu umepotea sana., enjoy manNna furaha isiyo na kifani leo😊
Pia upande wa Carvajal ameshachoka tukimpata Trent Alexander itakuwa vizuri alaf mbele pale aongezeke mbappe na kiuongo mnyumbulifu kam Modric tutakuwa tumewin, Safu ya ushambuliaji vijana hawa Rodrygo,Mbappe nawaamin sana uyu Vini anamakuzi sana sometimesdah sema hapo kati tupate mtu anaeweza miliki mpira kama modric na plus madrd inamuhitaj sana mbappe hapo mbele kupambana na watu kama city
TAA ana miaka mingapi? Upande wa Carvajal tunahitaji mtu kweli wa kumsaidia, japokuwa Vazquez amekuwa akiziba hiyo nafasi vizuri sana.Pia upande wa Carvajal ameshachoka tukimpata Trent Alexander itakuwa vizuri alaf mbele pale aongezeke mbappe na kiuongo mnyumbulifu kam Modric tutakuwa tumewin, Safu ya ushambuliaji vijana hawa Rodrygo,Mbappe nawaamin sana uyu Vini anamakuzi sana sometimes
lakin leo Carlo kapigana sana kuziba high line za City kuna mda City walikua wakiwa na mpira unaweza kutabili nin watafanyadah sema hapo kati tupate mtu anaeweza miliki mpira kama modric na plus madrd inamuhitaj sana mbappe hapo mbele kupambana na watu kama city
Kama Penati ya Bernado kaichukua kama ilivyo pia kafanya Save nyingi sanaTulichoona kwa Lunin mpka tukamsajili, leo amekionyesha.
Sikuwa na wasi wasi nae kwenye ishu ya penalty.
25 anaingia 26 bado kijana kabisaTAA ana miaka mingapi? Upande wa Carvajal tunahitaji mtu kweli wa kumsaidia, japokuwa Vazquez amekuwa akiziba hiyo nafasi vizuri sana.
Pia upande wa Carvajal ameshachoka tukimpata Trent Alexander itakuwa vizuri alaf mbele pale aongezeke mbappe na kiuongo mnyumbulifu kam Modric tutakuwa tumewin, Safu ya ushambuliaji vijana hawa Rodrygo,Mbappe nawaamin sana uyu Vini anamakuzi sana sometimes