Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,523
Jamaa huwa wana intensity ya hali ya juu kweli kweli., msimu uliopita walitufunga pale kwao., ila this time ninaona ile uoga wa kuwa hatuna beki wa kati imetusaidia team kukaba kwa ushirikiano.Jamaa walituvuruga sana, individual brilliance ndio imetuokoa, ila team wise jamaa walikua na intensity kubwa sana..
Kwenye kitu Perez anajitahidi kukikweka sawa ni kwenye suala la mshahara wa wachezaji, hataki kutoka kwenye structure waliojiwekea., hii imetusaidia sana kwa muda mrefu.,Hatimae. Nimependa tu hii ya kuja kwa terms zetuView attachment 2905542
Kabisa, nimeona report za mishahara kwenye vilabu vya ligi bora 5, Ndugu zetu wanaongoza. Nimejiuliza wanamlipa nani mshahara mkubwa considering age ya wachezaji na viwango uwanjani... Perez yupo vizuri sana.Kwenye kitu Perez anajitahidi kukikweka sawa ni kwenye suala la mshahara wa wachezaji, hataki kutoka kwenye structure waliojiwekea., hii imetusaidia sana kwa muda mrefu.,
Jamaa walianza kupoteana kwenye ishu mishahara., huwezi kushangaa kwa kile kikosi chao ati wapo nafasi ya pili kwenye viwango vya ulipaji mshahara kwa wachezaji., si kituko hicho.Kabisa, nimeona report za mishahara kwenye vilabu vya ligi bora 5, Ndugu zetu wanaongoza. Nimejiuliza wanamlipa nani mshahara mkubwa considering age ya wachezaji na viwango uwanjani... Perez yupo vizuri sana.
Hawa Rayo huwa kuna nyakati tunapata ushindi kwa shida sana na hata draw...leo inatakiwa tuwakanda mapema tu.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Hakimi anarudi naona uzee unamsumbua Dani
afadhali.. mkeka wangu umebakisha mechi yake tu, badae niamke mnonoLukaaa Modric, goal
Legend aliliona goli tangu yuko kwenye benchLukaaa Modric, goal
usituchukie sisi mkuu,mchukie kariusNawachukia sana nyie kenge.