Ningependa kuona Mendy anaenda nje, nafasi yake aingie Camvinga, pale mbele ikiwezekana atoe wote, aingie Joselu na Brahim Diaz, baadae anaweza kumtoa Tchouameni akaingia Arda Güler., hii game inahitaji watu wachezaji wanaoweza kumiliki mpira na kutengeneza nafasi..