Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Endelea kumjudge vibaya dogo.leo Tena katupa point 3 safi.💪💪
 
Tunaenda internationally break na point zetu 16. Hivi ndivyo madrid tunafanya. Ukweli getafe wamefanya kazi kubwa sana. Golikipa wao alikua anaokoa hadi unabaki kushangaaa.

Tchouameni kama kawaida kanichezea ile dimba vizuri. Ile pesa tuliyotoa monaco inabidi tuwaongezee tuu.

Jude jude jude
 
Rodrygo kawa mbinafisi sana Kuna mda Jana sehemu ya kutoa pasi yey kangania mpira anataka awarambe chenga uwanja mzima Hadi wakawa wanamchapa kiatu mda mwingi Toni bado ni genius

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Hilo tatizo niliwahi kulielezea hapa, kuna haja ya kuwa na kiongozi pale mbele, sema hili tutaendelea nalo mpaka tupate Mwalimu mwingine, ama Ancelloti abadilishe falsafa zake huko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…