Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Vin akili yake ikimature tu kwa 50% uwanjan...yaan afocus kwenye kufanya movement zenye akili nakufocus kwenye goli hii jezi namba 7 ataitendea haki..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Vin akili yake ikimature tu kwa 50% uwanjan...yaan afocus kwenye kufanya movement zenye akili nakufocus kwenye goli hii jezi namba 7 ataitendea haki..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa man, ila ndio vile kuna muda anapata moto., Ninatamani sana awe anatulia uwanjani, ana kipaji kikubwa sana.
 
Aisee tumeshinda ila bado don ana kazi kubwa ya kufanya. Kipindi cha kwanza tulikosa utulivu. Sielewi akiingi modric kidogo ata tunaweza piga pasi kwenye zone ya adui kutengeneza build up.

Tchouameni hii msimu atazidi tushangaa. Kikubwa tumeweka point tatu tukutane Saturday our first home game.

Hala madrid
 
Duhhh vp Game lkn wanatupeleka au maana celta Vigo nao siyo poa wakiwa kwao hasa yule IAGO ASPAS sijui kama kaanza maana nipo mbali sicheki hata Ball
Iago alikuwepo man, vijana wanacheza vizuri na wanajitahidi sana., Celta hawakuwa tishio kivile kama tulivyowazoea, sijui ni kiwango kimepungua ama na sie tumeimarika.
 
Jamaa hayo magoli yana muokoa sana, Ila performance ni ovyo mno.
Kila mtu ana silaha yake, hana uwezo wa kudrible kama Vinicius, so kufunga inaweza kuwa silaha yake muhimu, hakuna mtu atakumbuka chenga ulizopiga ila ushindi uliopatikana.,
Bado ni kijana mdogo ana nafasi ya kujifunza na kujirekebisha,tumpe muda ndio kwanza ana miezi miwili ndani ya team.
 

Mkuu kumbuka huyu ni midfield na sio striker, its okay kwa striker kucheza vibaya as long as anafunga mabao mana hiyo ndio kazi yake kuu. Midfield unatakiwa kwanza ukamilishe majukumu yako ya ki midfield kwanza, kufunga ni suala la bonus tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…