pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,285
- 3,847
Vin ana umachachari mwingi ila anapoingia kwenye 18 anakuwa siyo hatar...huwez kumpa hata 20% yakufunga goli akiingia kwenye 18...nakubaliana na wewe,ni either kocha abadilike au kocha aondoke yeye maana huu mfumo ni kila mtu anajichezea hakuna timu ila tuna wachezaji..Binafsi, sikufanikiwa kuangalia game yetu, niliangalia highlight tu kidogo, hata hivyo sikuridhishwa na nilichokiona, kuna shida niliiona, na ni hii ya kutokuwa na kiongozi, kwa muda mrefu sana tumekuwa na tendency ya kumtengenezea mfungaji wetu nafasi za ufungaji, ila nilichokiona pre season hatuna huyo mtu kwa sasa., imekuwa ni vurugu tu mtu anapofika na mpira ndani ya eneo la hatari ya team pinzani.
Vinicius akifika anapiga, haangalii kama kuna mwenzie aliye sehemu nzuri zaidi ama laa, Bellingham na yeye anataka kuonyesha umwamba., Rodrygo pekee ninaona anajaribu hata kucheck wenzie.
Sasa ni muda sasa wa Ancelloti kuamua ni nani atakuwa mfungaji wetu, ili sasa team ifocus kumtengenezea nafasi kama tulivyofanya kwa akina Cristiano na wenzie huko nyuma., hapo ndipo tutaona uelekeo wa team, laa sivyo hizi vurugu pale mbele hazitaisha.
Siamini kama vini ni mchezaji wa kuelekezwa kitu cha kufanya uwanjani kulingana na wakati.Nilidhani angejirekebisha baada ya kufanya mambo hayo pre season ila bado hali ni ile ile., ni muda sasa Ancelloti kumwelekeza kijana kitu cha kufanya anapokuwa kwenye box la team pinzani.
Tumrudishe el capitano SR4 hata kwa mkopo
Atakubali kweli kupunguza mshahara wake? Ninaona bado anategea ni team gani itajipendekeza ili achukue mpunga mrefu.,Tumrudishe el capitano SR4 hata kwa mkopo
Naam naam, baada ya kukosa mechi zetu nyingi, leo nipo tayari kuwashuhudia tena vijana wakisakata gozi, Tumaini ni moja tu., UshindiYah leo tupo uwanjani ugenini kucheza mchezo wa pili. Pasi na shaka leo ushindi ni muhimu ili kuendelea kuboost confidence ya timu.
Kila la kheri.
Game ni saa mbili na nusu usiku
Halafu kijana wetu Arribas ndio ametufunga., ni juzi tu tulimtoa kwa mkopo.Hawa jamaa wametufunga bonge la goli...sisi goli letu lakusawazisha ni ile papatupapatu...
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Jamaa wamelikataa aisee, ilikuwa bonge moja la kamba, wametafuta faulo yao kule wamelikataa, hawa tutawanyoosha tu.
Kijana ninaona ana upepo wake wa tofauti,
Kijana ninaona ana upepo wake wa tofauti,