Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Perez haonekanwi kuwa yupo serious kwenye usajili, baadae hapa mzigo wote atakuja kuangushiwa Carlo wakati timu ina matatizo mengi sana.
 
Mbape amekewa market value ya 250M£ aseee hata kama ni mimi papa perez napiga kona dogooo tunamuhitaji ila sio kwa value kubwa hiyo meanwhile Halland alipatikana kwa bei pungufu sana ya hiyo na anakiwasha tuuy

mkuu 250 m kwa Mbappe ni stahiki kabisa, ikiwa Jude analipiwa 130 basi mbappe hata zaidi ya hiyo 250 ni saea tu. Halland dili lake lilikuwa ni buyout clause ya mkataba wa awali, ile haikuwa thmani yake halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…