Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Game za UEFA zikiisha huwezi kuziona hizi mamruki humu Tena ,kwanza hata la liga hayafuatilii
 
Wakianza Militao na Rudiger itapendeza sana.
Alaba akae bench just in case.


Hivi kwanini faulo nyingi anapiga Alaba wakati Asensio/Rodyrigo/Kroos wana accuracy kubwa kuliko yeye, hua sielewi.
Au mazoezini hali huwa ni tofauti nini?wakiwa wanafanyia kazi mazoezi yakupiga mipira ya namna hiyo?

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Kumbe ww mpira unaangaliaga kibanda umiza mzee
Kwan Kuna shida? Kwa taarifa Yako vibe la kibanda umiza Huwa Lina ladha yake binafsi Nina tv na kingamuzi kinachoonyesha hizo mechi ila wakat wa mechi lazima niwepo kibanda umiza to feel the vibe of the game.
 
Futeni huu Uzi hauna mashabiki ,Kuna mamrukii tu yanayovamia kipindi cha UEFA baada ya hapo yanapotea kusikojulikana ...

Nan anafuatulia la Liga hapa bongo ,acheni ujinga vijana rudin kwenye team zenu
pumbavu sanaaa
 

Ni nature mbili tofauti militao tofauti na RCD anaweza kucheza namba 2 tuu
 
Mimi nimeanza kuwa shabiki wa real Madrid tokea 2000

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 

Militao ni wakufyekwa Bench tu
 

yani viungo wote waliojaa kwenye timu akachezeshwe Militao?
 

Kwahiyo kwa fikra zako watu wote wanashabikia EPL? Pumbav kabisa
 
Heko Madrid

Jana sijafanikiwa kupata muda wa kutazama game na getafe. Sahizi ndio napitia report ya mechi naona camavinga alikua na knock kidogo. Inatia wasi wasi kama ata kuwapo kwenye game ya j5. Pia tchouameni jana kaupiga wa kumwagika.

Ngoja nimalizie kunywa supu nitazame marudio game nzima. Japo tulikua na ushindi mwembamba
 

Mwenyew sikutazama ila niliona line up Hazard alianza ukiurudia nitazamie kama anashawishi au tukubali yaishe
 
Don Carlo kasema sio tatizo kubwa atakua sawa na next match atakuwa uwanjani.
 
Siamin kama Kuna mtu humu anafuatulia la Liga to be honestly....

Hii timu ni grory hunter UEFA tu ,baada ya hapo hautayaona humu


Football = epl


Hayo mengine ni mkusanyiko wa wahuni wanacheza uwanjan ...
 
Siamin kama Kuna mtu humu anafuatulia la Liga to be honestly....

Hii timu ni grory hunter UEFA tu ,baada ya hapo hautayaona humu


Football = epl


Hayo mengine ni mkusanyiko wa wahuni wanacheza uwanjan ...
Hujui chochote kuhusu vilabu nje ya EPL au unafatilia EPL tu. Niletee rekodi ya michuano inayo kutanisha vilabu mbalimbali toka ulaya yote tuone kama kuna team toka EPL inarekodi kubwa kuliko team toka nje ya EPL. EPL ni miongoni tu mwa ligi bora na maarufu Duniani na siyo kwamba ndo kila kitu kwenye football, data zinakataa.
Na huyo Man City tunaenda kumfunga hapo Etihad na kumtupa nje ya michuano ya UEFA na ndo maana unaumia.
 
Masikin cheki huyu plastic fan wa Madrid hata hajui kikosi cha Jana Madrid walikuwaje ...

Rudin kwenye team zenu bana
 
Masikin cheki huyu plastic fan wa Madrid hata hajui kikosi cha Jana Madrid walikuwaje ...

Rudin kwenye team zenu bana
Kumbe unafatilia Laliga hata wewe? alafu unajisemesha huzan kama kuna mtu anafatilia Laliga? Kikosi cha jana shida nini kama tulipata point 3 au ulitaka tushinde kwa magori 15?
Yani league ina vilabu maarufu zaidi kama Barcelona na Real Madrid alafu unadanganya haifuatiliwi? Subili next week tukawajaze yakutosha ndugu zako Man City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…