Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Nandio maana Laliga hamna mashabik wadizaini hiyo unayoitaka ww wakelele namatusi kwenye majukwaa yasiyo yao sababu epl fans wengi wamerithi kutoka kababu au baba zao
 
Nandio maana Laliga hamna mashabik wadizaini hiyo unayoitaka ww wakelele namatusi kwenye majukwaa yasiyo yao sababu epl fans wengi wamerithi kutoka kababu au baba zao
Nani kakudanganya kibamda umiza ni matusi tu watu wanaenda kibanda umiza kujumuika na washabiki wenzao mtu ana Dstv nyumbani ila hakuna vibe anaenda kulipata bar au kubanda umiza.

Kama shida ni kelele hata Anfield,Santiago,Bernabeu kuna kelele mpira na tambo na kelele kelele ni vitu havitengani. Narudi tena kusema hakuna mashabiki wa La Liga bongo hata humu mmefata glory ya UEFA tu na nina uhakika mna timu za EPL mnazikubali
 

Fikra zakikoloni hizo wengine hatuna
 
Kumbe ww mpira unaangaliaga kibanda umiza mzee

Afu ukae unapoteza muda kujibizana na watu kama hao. Nishaacha kabisa.

Naona kocha kasema game inayofata atapumzisha baadhi ya key player ambayo ni laliga.

Sema j5 ana kazi maana alaba na rudiger walicheza vizuri. Militao naye anarudi sijui itakuaje
 
Nafikiri anaweza wachezesha wote kwa maana ya miltao akawa kama kiungo mkabaji na atasaidia kuwini mipira ya juu na wakat huo huo wakipokezana na Antonio Rudiger kuzuia mipira isiende kwa halland na mara kwa mara wakipokezana kwenda kucheza mipira ya kona au setpc zingine kwenye lango la adui,jana kama utakumbuka lile goli tulilofungwa ni kroos kuchelewa kufika alipo KDB au tuseme alimkaba kwa macho KDB,ilihali modric alikuwa ameshamtoa kwenye sight huyu kiungo wao aliyetoa assist,lakini pia naona kauli ya Valverde kuwa anafeel mwili kuchoka izingatiwe,ikibidi upande wake ule aanze Ansensio au Lucas.

This game is still 50% 50%...Benzema anatakiwa awe yule ambaye wa msimu jana,wa kila nafasi anayoipata ni goli,jana kakosa umakini.

Lakini kikubwa kingine nlichoona ni kuwa kupiga mashuti ya mbali yale yakutanua kwapa za kipa,beki ya city ikitoka kushambulia inachelewa kwa sekunde kadhaa kujipanga,hapo kuna uchochoro pia.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 

Militao acheze kiungo mkabaji mkuu unataka tupigwe wiki eh
. Hakuna wa kuanza pale zaidi ya toni kuwa mbele ya mabeki zetu
 
Hahahhahahahhaha....eee mwanangu...kama anaweza cheza beki kwa nn ashindwe kiungo,unakumbuka kipindi cha mourinho mechi za El classico na mechi ngumu za UCL?Ramos au pepe walikuwa wanacheza kiungo mkabaji..

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Wakianza Militao na Rudiger itapendeza sana.
Alaba akae bench just in case.


Hivi kwanini faulo nyingi anapiga Alaba wakati Asensio/Rodyrigo/Kroos wana accuracy kubwa kuliko yeye, hua sielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…