HT:So far tumecheza vizuri,na mbinu yakuwaachia wamiliki mpira sisi tupige counter imefanikiwa kwa angalau kupata goli moja japokuwa tulikuwa na fursa zaidi,bado naona tuna nafasi yakupata goli mbili na zaidi kipindi cha pili,Vin aendelee hivi hivi kubadili upande nakirudi kati lakini Rodri au Benzema awe anasararia golini kwa hawa jamaa pale panapotokea piga nikupige,tulipata goli la pili before wao wapate tuna uwezekano wakupata zaidi kwa sababu city ni mwepesi kuchanganyikiwa nakukata tamaa.
Nimpongeze Antonio Rudiger kwa kufanya kazi safi sana hapo nyumba,achunge asipate kadi.
Refa so far kaweza kuhimili pressure ya mchezo.
Goli nyingi zaidi zitaturahisishia hatua ya second leg.
Sioni mtu wakufanyia mabadiliko,labda sanaaa atoke kroos aingie Tchou.
yalla shoot english free live stream matches, watch laliga , watch premier league live ,watch yalla shoot english stream, watch online with english commentary
yalla shoot english free live stream matches, watch laliga , watch premier league live ,watch yalla shoot english stream, watch online with english commentary