Tuko pamoja mkuu wewe unaelewa vizuri nashangaa tu wanaojipa matumaini ya 100% hao ndo wanaingia na matokeo baadq ya kupigwa waanze matusi na kulaumu beki
Barcelona wanataka kumchukua huyu jamaa atatusumbua sana kwenye el classico. Sisi tunakomaa kujaza nafasi zilizojaa, yani ukuta ni shida mpaka Kamavinga kawa beki.
Sioni red kwa city itakua unaota hakuna beki wanakaba kistaarabu kama wale marasta Ake na Akanji labda enzi za fabinho ila kwa upande wa drid red zipo kuna Njano camavinga,miltao,vini awawezi kosa kadi
yalla shoot english free live stream matches, watch laliga , watch premier league live ,watch yalla shoot english stream, watch online with english commentary
Dakika hizi 15 za kwanza,tumeweza kuzuia pressure yao kwa kiwango kikubwa japokuwa wamefika kwenye goli letu mara kadhaa,naona mipira ya juu hatujaweza kuiwin vzuri...huku mbele bado tunaogopa kufika golini kwao hata tukiwa na nafasi.
HT:So far tumecheza vizuri,na mbinu yakuwaachia wamiliki mpira sisi tupige counter imefanikiwa kwa angalau kupata goli moja japokuwa tulikuwa na fursa zaidi,bado naona tuna nafasi yakupata goli mbili na zaidi kipindi cha pili,Vin aendelee hivi hivi kubadili upande nakirudi kati lakini Rodri au Benzema awe anasararia golini kwa hawa jamaa pale panapotokea piga nikupige,tulipata goli la pili before wao wapate tuna uwezekano wakupata zaidi kwa sababu city ni mwepesi kuchanganyikiwa nakukata tamaa.
Nimpongeze Antonio Rudiger kwa kufanya kazi safi sana hapo nyumba,achunge asipate kadi.
Refa so far kaweza kuhimili pressure ya mchezo.
Goli nyingi zaidi zitaturahisishia hatua ya second leg.
Sioni mtu wakufanyia mabadiliko,labda sanaaa atoke kroos aingie Tchou.