Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Uko sahihi. Ni desturi pia ya Madrid kufanya summer sign kubwa. Kuvutia audience uwanjani na kufanya mauzo ya jezi.

Kwa kijana wa miaka 19 si mbaya wacha akuje. Sio kila sajili lazima ikupe positive results kuna zingine zina fail. Mfano james, jesse, morata kila akirudi alikua atoi tunachoitaji.
 

wameshejaribu sana hicho kitu na wote wame FLOP, kuanzia Owen, Woodget, Steave, Beckham. ni muendelezo tu.
 

tatizo la real madrid hivi sasa haipo kwenye position ya kufanya big signing halafu ifail, mana timu ina madhaifu mengi sana hiyo hela ni bora itumike kwenye kuziba mashimo yanayoigharimu timu.
 
Mechi ngum sana hii
Leo Mancity nahisi atakuja ni counter,kwa kuwaweka yule KDB na Halland free,na lengo lake ni apate magoli wakat huo huo azuie asifungwe...option ya pili kwake ni yeye kutukabia kuanzia juu huku ambapo lengo ni azuie team buildup ambayo huwa tunafanya..ni game ngumu ambayo mwenye nidhamu ya ukabaji ndio ataibuka kidedea nakujisafishia njia yakwenda fainal.

Kwa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja madrid ana advantage kubwa kuliko Man city.

Usumbufu wa Vin na Rodri haswa eneo la box la adui tutapata faida ya either penalts au redcard kwa city.

Wasiwasi mkubwa kwa madrid leo ni ukuta...tumekuwa tunaruhusu magoli walau kila mechi.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Tukishinda ni bahati
Tukdroo ni bahati sana
Tukipigwa ni halali
Tunajitoa fahamu tu ila mziki wa Pep tunaujua vizuri dakika 20 za mwanzo tukizuia basi tutakua nafasi nzuri
 
Sioni red kwa city itakua unaota hakuna beki wanakaba kistaarabu kama wale marasta Ake na Akanji labda enzi za fabinho ila kwa upande wa drid red zipo kuna Njano camavinga,miltao,vini awawezi kosa kadi
 
Kadi labda tuzizoe sisi, ukuta wetu una matobo kinoma, kwa strikers wenye nguvu kama hawa wa city ni mtihani sana.
 
Barcelona wanataka kumchukua huyu jamaa atatusumbua sana kwenye el classico. Sisi tunakomaa kujaza nafasi zilizojaa, yani ukuta ni shida mpaka Kamavinga kawa beki.
 
Tukishinda ni bahati
Tukdroo ni bahati sana
Tukipigwa ni halali
Tunajitoa fahamu tu ila mziki wa Pep tunaujua vizuri dakika 20 za mwanzo tukizuia basi tutakua nafasi nzuri

Ni game ngumu sisi tunaingia tukiwa kama weak team. Tutaenda kupambana hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…