Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Hao wachezaji uliowataja unajua buy out clause zao. Emu tulia modric jua linakaribia kuzama acha tulete box to box mid field wa kusaidiana na akina valvelde. Vamavinga alishakabidhiwa left full back mean while defensive mid field atakuwa anaitumikia piaCamavinga tayari ni natural replacement ya Kroos, Na kuhusu Modric club iendelee kutafuta replacment kwa utulivu mana club ina matatizo makubwa maeneo mengine kuliko hilo la modric kwa sasa kwahiyo wali consider hilo after next season Lakini Jude hawezi kuwa replacement, mana wale waliopo pale wote wamemzidi kuiwezo na bado hata wao hawajaonekanwa kuwa wana uwezo wa kutosheleza, kama kweli wapo serious ku replace modric kwanini wasiende kwa Bernado SIlva? Bruno fernandez? Barella? Musiala? hao ni world class players.
Hao wachezaji uliowataja unajua buy out clause zao. Emu tulia modric jua linakaribia kuzama acha tulete box to box mid field wa kusaidiana na akina valvelde. Vamavinga alishakabidhiwa left full back mean while defensive mid field atakuwa anaitumikia pia

Naona umeanza kurusha maneno mjadala wa timu yako umekua mgumu kwako. Pole
Umeangalia la liga msimu huu ukaona huyo beki 3. Je unamjua ?..
Katazame vizuri. Anakuja na vitu vyake tofauti huwezi taka awe na uwezo aliokua nao marcelo au mendy ni watu wawili tofauti.
Ana rate nzuri la liga msimu huu ni kijana mdogo atatufaa kua naye. Hope ata deliver.
Hazard was promising player kulichoanza muua ni injury. Hazard anajua ana kipaji kilichokuja muua pia kwa zizo na don. Don anapenda kiwango na hard worker player. Iko ndio kilichomuua zaidi hazard

hata akina odriozola walikuja kwa mazingira kama hayo na kilichotokea umekiona. Timu kubwa haitakiwa iishi kwa kubahatisha.
Unapima vipi performance ya mchezaji kabla ya kumsajili? Au mchezaji yoyote una analyse vipi?
Ni taaluma kama zilivyo taaluma nyengine, Uwezo wakufahamu nani ni bora nani atafaa nani ata replace vizuri, nani ni mzuri kwa future, nani ni mzuri kwa present.
ndio mana kwenye timu nyingi wanaajiri watu kama ma sport directors kazi yao kubwa ikiwa ni hiyo, na hata wao pia hutafautiana kwa ubora. Chelsea sasa wapo kama vichwa vya wendawazimu sababu wanakosa kabisa mtu kama huyo kwenye timu.
Kumbe unakubali ni ngumu unakubali ni kazi na taaluma ya watu. Sasa iweje unapinga wataaluma walioma jude anafaa, na fran