Real Madrid hawahitaji midfield unless awe World Class, huyo kijana wakiengeraza ni mchezaji wa kucheza Newcastle hizo ndio timu za size yake. Timu inatakiwa kuimarishwa Defense Pamoja na Forward.
Nikweli zinahitajika hasa beki za pembeni na striker lakin pia sidhani kama creativity ya Modric tushaipata
Tunapambana leece james tutakuwa nae majira ya jotoNikweli zinahitajika hasa beki za pembeni na striker lakin pia sidhani kama creativity ya Modric tushaipata
Huyo jamaa ni mua, anakuja kuishia kukaa bench pale, Hakuna hata midfield moja aliyokuepo pale anyemzidi. Hizi signing za mihemko always zinaishia kuicost timu.
Najua wako watakao biasha ila hii msg itakua ni kumbukumbu tosha ya kuwakumbushia.
Muulize hivi who is the box to box mid field ukimtoa modric kwa sasa pale madrid????Nambie ukiondoa modric nani mwingine ni ball carrier mzuri kuelekea mbele pale madrid kwa viungo wetu wa sasa?.
Muulize hivi who is the box to box mid field ukimtoa modric kwa sasa pale madrid????
Jibu atakupa ni valvelde. Je akiwa na suspension au akiwa na majeruhi je tutafanyeje????
unanunua mchezaji kwa karibu milion 100 au ziadi kwa ajili ya kusubiri suspension ya Valvelde? Kwanini hiyo hela isitumike kununulia full backs za kulia na kushoto kama Cancelo na Theo Hernandez ili timu iwe na world class fullbacks?
Valverde na jude ni nature mbili tofauti kabisa afu kuna swali hapo juu hujanipa jibu mwana Madrid?
Nambie ukiondoa modric nani mwingine ni ball carrier mzuri kuelekea mbele pale madrid kwa viungo wetu wa sasa?.
Jude ni ball carrier mzuri? Tunazungumzia Real Madrid ndugu sio timu za EPL Real Madrid alipita Zidane, akapita Ozil amekuja Modric kwahiyo Jude ndio akawe replacement yake?
Suspension ya valvelde itakuwepo tuu kama sio suspension basi majeruhi kama sio majeruhi basi underperfomance anaweza akawa nayo kama sio hayo yote real madrid huwa tuna rotation ya wachezaji wetu ili wasiwe na fatique.unanunua mchezaji kwa karibu milion 100 au ziadi kwa ajili ya kusubiri suspension ya Valvelde? Kwanini hiyo hela isitumike kununulia full backs za kulia na kushoto kama Cancelo na Theo Hernandez ili timu iwe na world class fullbacks?
Suspension ya valvelde itakuwepo tuu kama sio suspension basi majeruhi kama sio majeruhi basi underperfomance anaweza akawa nayo kama sio hayo yote real madrid huwa tuna rotation ya wachezaji wetu ili wasiwe na fatique.
Huijui madrid wewe tulia tukupe strategies zetu.
Modric akiondoka kroos nae anaweza ondoka je nani atabaki midfield pale????
Nakubaliana na ww full backs 2 na 3 tuna criss ndo maana leece james yupo kwenye rada zetu.
Afu huyo Theo na Cancelo unadhami unaweza wapata kwa bei gani sasa hivi??????
Full backs kama cancelo ukatoe pesa yote iyo kumnunua wa nini?
Tuna full back ya kushoto tumeshasajili anaingia next season. Kulia tunammalizia dani msimu ujao huku tukimchezesha vinicous tobias.
Sisi sio chelsea tunanunua kila mbuzu tunayeona yuko teyari kuchinjwa

Tupo uwanjani leo kuchukua copa de Rey
Fainal hakuna mechi nyepesi
Kila la kheri Madrid
Copa de Rey 20 loading
Los blancos is white 🤍🤍🤍🤍
Jude ndie mbuzi ambaye yupo tayari kuchinjwa kama ilivyokua kwa Hazard. Hiyo fullback iliyosajiliwa je ina uwezo wa kutosheleza au ni Mendy mwengine? acha mihemuko ndugu