Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Sijaangalia mpira ila kunamtu humu mbona alisema camavinga hajui mpira kulikon tena?
Napoli hawezi kuwa dangerous Kwa Real Madrid ndio wanatimu nzuri msimu huu lakini hawana uo uzoefu wa kushindana kweny mechi kubwa za mtoanaMkibahatika kuwatoa livakuku then the only team that will be dangerous to you guys will be Napoli ambayo inatembeza kichapo kule Seria A. Man City is not that dangerous, Bayern Munich too. PSG is overrated.
Ni mimi mkuu, I'll break it down:
Umeona magoli tuliyofungwa Leo, nani kapoteza mpira magoli yote?
Kwanini camavinga sio starter France NT au RM kikosi kikiwa fit?
Match ambazo France alipoteza kwenye WC camavinga alianza na kutolewa, kwanini?
Dogo ana potential ila ana makosa mengi sana muangalie vizuri. Judgement yake ni mbaya, anamakosa mengi sana ambayo ni costly.
Tchou akirudi camavinga anarudi bench.
Leo tumeshinda ila hii RM haipo kwenye ubora wake kabisa na livakuku is even worse nadhani wote tunakubaliana na Hilo na Sasa ndo muda ambao camavinga anacheza sana, you can see the link there.
Cc ukikaidi utapigwa2
So far amehimili, ninadhani alianza nae kwa kuwa alitegemea Atletico kucheza zaidi chini., acha tuone kipindi cha pili kama tempo itabadilika.DM Leo ni Toni kroos aseee ataweza kuhimili vishindo vya atletico kweli au ni rotation ya don carlo
FT : Real Madrid 1-1 Atletico Madrid
Kanipa hela