Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Hello Madridistas
Kila mtu kaona game japo tulianza vibaya ila tulikua na wakati mzuri wa kusahihisha matokeo. Siku zote naamini timu yangu kipindi cha pili na leo kimetoa matokeo sahihi.
Kwangu waliokua bora uwanjani ni vin, camavinga wamecheza kwenye ubora sana. First half cama alicheza chini aliku hafanyi kurun kusogea mbele ata kidogo. Kipindi cha pili kilibadirika kwake.
Vyovyote tumeanza vizuri. Tusubiri game ya pili ya marudiano. Next game nadhani ni athletico ndio anafata.
Hala Madrid.
unaongelea Camavinga yupi?Camavinga hajui lipo wazi. Huu ubovu wa RM lately ni sabau Tchou hayupo. Hata France games walizopoteza ni ambazo Camavinga alicheza na Tcho alikua nje. Camavinga sio starter wa timu yeyote ile na bado sana.
Jamaa kaumbuk vibayaa sana,, awa ndio wa livescoreunaongelea Camavinga yupi?
We jamaa, NI WEWE AU UMELEWA?Camavinga is so fckn overrated. Hajui kabisa mpira
We jamaa, NI WEWE AU UMELEWA?
Anyway cha msingi ushindi mengine ni sehemu ya gameNi mimi mkuu, I'll break it down:
Umeona magoli tuliyofungwa Leo, nani kapoteza mpira magoli yote?
Kwanini camavinga sio starter France NT au RM kikosi kikiwa fit?
Match ambazo France alipoteza kwenye WC camavinga alianza na kutolewa, kwanini?
Dogo ana potential ila ana makosa mengi sana muangalie vizuri. Judgement yake ni mbaya, anamakosa mengi sana ambayo ni costly.
Tchou akirudi camavinga anarudi bench.
Leo tumeshinda ila hii RM haipo kwenye ubora wake kabisa na livakuku is even worse nadhani wote tunakubaliana na Hilo na Sasa ndo muda ambao camavinga anacheza sana, you can see the link there.
Cc ukikaidi utapigwa2
Tchou akirud camavinga anaweza kurudi benchi lakin nikuulize nani aliyebadili game mechi ya fainali ya WC baada ya half time. Nenda kaangalie Ile mechi ndo utajua camavinga ni nani licha ya Kwamba walipoteza pambano.Ni mimi mkuu, I'll break it down: