Sijaona game ya juzi kwa dakika 90 so sijaweza tambua wapi yalikua madhaifu yetu. Sema natamani siku tucheze na vijana pale dimba la chini hasa katika mechi kubwa nione ufanisi wao.
Sijaona game ya juzi kwa dakika 90 so sijaweza tambua wapi yalikua madhaifu yetu. Sema natamani siku tucheze na vijana pale dimba la chini hasa katika mechi kubwa nione ufanisi wao.
Carlo Ancelotti has shut the door in Arsenal's face. The Gunners were said to be keen on loaning Eduardo Camavinga this January but it is an option that Real Madrid do not even remotely contemplate
Baada ya kufanya vizur kwenye Kombe la Mfalme., Ceballos, na Asensio wamepewa nafasi ya kuanza., Leo kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu, kwenye kiungo hayupo Luka Ama Toni.,
Hopefully vijana watakuwa na mchezo mzuri.,
#HalaMadrid