Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Leo mtani, lazima nile tunda lako kimasikhara. Maana hapa karibuni umezidisha mazoea!
 
Ninaona kama wachezaji wetu hawajiamini, Modrić hayupo kwenye kiwango chake tokea arejee kwenye Kombe la Dunia., tuna viungo Wanne uwanjani ila kukaa na mpira umekuwa mtihani.,
Hatuwezi kushinda kama hata kukaa tu mpira inakuwa shida kwetu., bado Ancelotti ana muda wa kurekebisha hizi mambo.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…