Yeah. Sisi injuries za international break almanusra tuangushe point kwa Mallorca. Fitness ya wachezaji ndio itaamua msimu huu.
By the way, Laliga ni main priority kwetu. Huko UEFA nadhani mpaka next season ndio tutakua favourites. Ikitokea tukafanya vizuri msimu huu, itakua ni ziada tu.
Vinicious sio mtoto tena. Hongereni mmekuza!