Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Alicheza kwa kiwango chake, sio mbaya sana, anahitaji muda mwingi wa kucheza ili awe fit zaidi na kuelewana na wenzie., suala la msingi ni kujiepusha na majeraha tu., atatusaidia msimu huu.Nadhani ukutazama mechi alikuwa wa kawaida tuu
Sisi wakatalunya hatuna kelele, tunamkimbiza mwizi kimyakimya. Kelele atapiga yeye!La Liga msimu huu itakuwa ya ushindani sana, wenzetu na wenyewe wapo moto vibaya mno, safari hii hakuna kutegea mtu kupoteza point, kinachotakiwa ni kushinda tu game zako hakuna namna.
Tupo uwanjani Leo
Majukumu Leo yalinizidia kidogo, ndio ninaingia runingani mida hii.,Mapema tuu nishapokonya familia rimoti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapema tuu nishapokonya familia rimoti
Dogo atavunja watu nyonga hio chenga [emoji23][emoji23]Rodrygooooooooal