Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,376
Ninaona unataka kuwakosea heshima vijana wetu., muda ni Mwalimu mzuri.Physicality 100%
Creativity. 20%
Hana tofauti na mtenje albano wa coastKijana huyu hapa.,
View attachment 2260530
Hii timu siipendi hata ichukue kombe la dunia ,au hata ikibaki yenyewe pekee yake duniani naacha kushabikia mpira na kuanza kushabikia mieleka...! Haina mvuto kabisa
Ile game yetu ya marudio na CHELSEA Mendy alizingua sana, mpaka alipokuja kuingia Marcelo mashambulizi yakatulia. Marcelo alikuwa bado ni mzima kabisa.Marcelo sioni tatizo akiendelea kubaki Madrid.
Ule upande wa kushoto kuna beki gani wa kupanda na kushuka anamzidi!
Ndio yule Mendy? Aaaah hata simkubali kivile...
Hata Isco mbona anapiga kiungo fresh tu.
Hapo wa kusepa ni Bale tu. Wengine wabaki.
Hivi Mariano imeshindikana kabisa kukiwasha?? Dogo alitarajiwa kufanya makubwa sana.Namkubali sana marcelo ila kwa staili ya uchezaji wake na Mendy bora marcelo tumpe heshima aende free. Mendy ni kijana ana nguvu ya kupanda na kushuka. Uwezo wa Mendy naamini unaoneka no DOUBT.
Kwa suala la ISCO ni mzuri akiwa na mpira ngojea timu iwe inashambuliwa asee jamaa hakabi aseee hawezi kucheza defensive. Nae aondolewe free akapate timu anayoona itamfaa. Hata barca wanamtaka ISCO hata leo aende hata huko sawa tuu.
Bale na Harzard nao watupishe aseee. Luka jovic na Mariano wasisahaulike wauze tuu
Mbappe hawezi kuja kwenye team la kifala kama hiliI don't know why President Perez is so obsessed about Mbappe actually the kid refused to be part of our team then he needs to stop talking about him.
Mbappe chose Money instead of Honor fuvk him and his PSG.
Hiyo mimba uliyosusiwa kuhudumiwa isikupe hasira ya kutusumbua wanaume wengine huku.Mbappe hawezi kuja kwenye team la kifala kama hili
yule ni mzigoHivi Mariano imeshindikana kabisa kukiwasha?? Dogo alitarajiwa kufanya makubwa sana.
Mendy ni Fala Sana ,alizingua mechi ya Kwanza pia lile goli alilopasia adui , what an idiot that guy isIle game yetu ya marudio na CHELSEA Mendy alizingua sana, mpaka alipokuja kuingia Marcelo mashambulizi yakatulia. Marcelo alikuwa bado ni mzima kabisa.
Ile game ilikuwa ndio fainal ..hizo nyingine mulikamilisha ratiba tu.Ile game yetu ya marudio na CHELSEA Mendy alizingua sana, mpaka alipokuja kuingia Marcelo mashambulizi yakatulia. Marcelo alikuwa bado ni mzima kabisa.
Nyie mungoje UEFA tuwe tuwabamize Tena.Amka usingizini huko ..nyie ni m mbwa tu kwetu
Usajiri wa uhakika mpaka wamsajiri nani?Real Madrid bado sijaona usajili wa uhakika. Kwa mwenendo huu inaonekanwa wataendelea kutarajia tena Miujiza kutoka kwa Ancelotti