Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Modric aliwai nukuu “ tukifanikiwa kuwatoa psg tutakwenda mbele na tutafika fainali na kombe tutachukua” hii ilikua baada ya mechi ya kwanza.
Nimependa utulivu wa timu, timu imekaa na kutambua nini wataenda kufanya. Na amini tukicheza vizuri tukaweza ku covert chance tunaweza maliza game first half.
Kitu ambacho kitanivutia zaidi game hii ni high line defence ya liverpool na wing yangu vin watakavyo pambana. Huku beki zangu zenye makosa na Liverpool wenye mane, salah na diaz hahahah. Liverpool ni wazuri kwenye kupiga krosi na mipira ya kona sijui kama tumefanyia zoezi ilo.
All the best kwa madrid. Sina nacho wadai even lose kwangu ni ushindi maana tulianza msimu kwa kusuasua. Siku zote tutabaki kua bora
Nothing more,Go Madrid.