Baadae saa 2 usiku huu, team yetu ya Basketball itakuwa inacheza dhidi ya Anadolu Efes, kwenye michuano ya Euroleague.,
Vijana wa Pablo Laso wanatafuta kikombe cha 11.
Hii ni mara ya Tano, team ya mpira wa miguu na kikapu kufika final ndani ya msimu mmoja.