Mapema kabisa, Ancelotti ameshatangaza kikosi chake, imekuwa ni desturi kwenye michuano hii, anatangaza kikosi chake mapema, Let's hope for the best.
Vamooos Real
Mapema kabisa, Ancelotti ameshatangaza kikosi chake, imekuwa ni desturi kwenye michuano hii, anatangaza kikosi chake mapema, Let's hope for the best.
Vamooos Real
Dah Pep amekusudia ubaya kwa kweli, Kashusha kikosi kile kile cha mechi ya mwanzo, Mahrez, De Bruyne na SIlva wakicheza kwa pamoja jamaa hua wanauwasha vibaya kabisa, na mbaya zaidi ameengezeka Cancelo. Kwa kweli Real leo anahitaji miujiza.
Tunaenda mapumziko bado tukiwa hatujafungana, mpaka sasa hivi Courtois ndio ametuweka mchezoni, team inajitahidi sana ila bado hatujawa na utulivu mbele ya goli la mpinzani, ni matumaini yangu kipindi cha pili tutarudi vizuri.,
HT: Tumecheza vzr,lakini pressing yetu haikuwa yenye nguvu sana...modric anatuliza timu vyema hapa nyuma ila kuna wakat anapoozesha mashambulizi kwa kupiga backpass kisha hawa jamaa wanajipanga,mtazamo wangu ni kuwa mambo yanatakiwa kuwa mbele kwa mbele..Velvde upande wake wa kiungo naona umezidiwa,watu wanajipitia sana kwake..
Benzema na Vinicius wanahitaji utulivu haswa, Modrić anahitaji kutulia pia ili aweke mipango Sawa, kwenye ishu ya Ulinzi tunajitahidi sana, uwepo wa Casemiro unasaidia Nacho na Militao kucheza kwa Uhuru zaidi.
Shot on target hata 1 hakuna...vinicious kakutana na mashine yenye mbio km yeye...kabanwa hasa...tackle ya casemiro kwa de brune ilikuwa ni kadi...tackle nyngne kwa foden ikiwa n pmj na kumvuta shati ilikuwa ni kadi pia..bahati ipo kwake