Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Unajitungia tu, hiyo rekodi ni kwa mujibu wa chanzo gani? Umepiga ramli au

Wamekutana UEFA Champions Leaugue mara 7, Man City kashinda mara 3, Real kashinda mara 2, Draw 2
Wewe ndiyo umetunga embu Leta source
 
Wewe ndiyo umetunga embu Leta source
Uefa Champions League

Haya, na wewe tupe chanzo, haina haja kwanza ulichowasilisha ni uongo, Real vs City "UEFA" hamna droo hata moja
, mwaka 2012 mechi ya pili iliisha droo ya 1 - 1 na ilichezwa Ettihad

 

Sasa ww Mbona hueleweki uefa 13 alaf unasema farmer league ambao sio farmer league wana uefa ngap?
 
Mnabishana na watu wasioelewa chochote kuhusu mpira.. Comments zao tu unajua wakiminywa pua bado zinatoa maziwa..
 
Nasikia Bale kazingua kinoma, kakataa kujumuishwa kwenye kikosi kitakachokuwa uwanjani Bernabeu leo jioni. They said, the Welshman doesn't want to participate in anything with Real Madrid right now. Kwahiyo anafikiri kama Real Madrid akichukua ubingwa leo atalazimika kushangilia kitu ambacho hawezi kufanya.
 
Muache aringe tu
 
Angekua na quality ya kueleweka sasa..
Muda wake uishe akapambane kwingine.
 
Leo chama linaingia uwanjani, Natumai leo tutatoka na zaidi ya point moja ili tuwe mabingwa wapya wa laliga.

Habari zaidi nasikia leo leo tunaweza pewa kombe letu kama tukiipata iyo point moja.

Maandalizi yote ya kushangilia ubingwa yamefanyika. Timu imeandaliaa open bus. Na celebration itafanyika pale cibeles wanapokutana mashabiki na timu kusherekea ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…