Ila za nyie santiago Bernabeu hatoki mtu za kikubwa?Argument za kitoto kabisa hizi.. Kwani kushinda mechi tatu kati ya 4 huko kipindi cha nyuma inazuia nini?
Mendy sijawahi kumuamini kabisa, hua mzito kugeuka bora Marcelo acheze na uzee wakeIla mendy mm simkubali mechi ijayo kross asianze
Alielewa asummarize kidogoIla za nyie santiago Bernabeu hatoki mtu za kikubwa?
Hajawahi kutufunga Ethihad
Tumewahi mfunga Bernabeu na tunaenda kumfunga Tena sisi ni waume zake
Madrid na man city wamekutana Mara 4 city kashinda 3 Madrid kashinda 1
Unanuna Nini acha udeka wakiume weweUsirudie tena kunitag kwenye huu upuuzi wako. Jifunze kufanya mambo yako
Ona huyu mamsister anaongea utumbo gani kubishana na timu haina ucl ni ujinga tuMimi siwezi poteza muda kubishana na timu kama Madrid ilishajifia wanajificha kwenye kivuli cha historiahizo historia haziwezi kuwasaidia kufunga Goli .....!
Mshapitwa na wakati nyie ...
CL zako 13 it's past and it's over ,kaza makalio wewe .....Ona huyu mamsister anaongea utumbo gani kubishana na timu haina ucl ni ujinga tu
CL zako 13 it's past and it's over ,kaza makalio wewe .....
Tunakuja kukupanua bapo bernabeu
Unanuna Nini acha udeka wakiume wewe
Wewe una hoja gani za kimpira zaidi ya kusema mna CL 13 na hio Farmer league yenu ....Unaongea kama mtu ambae technically hujui football, post zako zote doesn't make any sense kwenye huu mchezo.
Achana na hizi comments za kitoto, ongea kuhusu Sports kama unafaihamu. Sio kubwatuka hovyo tu.
Njoo nikupanue mzeeNa hizo shanga zako kiunoni unavojipitisha humu kutwa nzima, sijui unataka wanaume wakuchome madole?
Block tu your like piece I'm like oneSina maneno mengi, block itafaa
Unajitungia tu, hiyo rekodi ni kwa mujibu wa chanzo gani? Umepiga ramli auMadrid na man city wamekutana Mara 4 city kashinda 3 Madrid kashinda 1
Taja na wewe zako za Past and it's over!CL zako 13 it's past and it's over ,kaza makalio wewe .....
Tunakuja kukupanua bapo bernabeu
Wewe una hoja gani za kimpira zaidi ya kusema mna CL 13 na hio Farmer league yenu ....
Ukija kwenye hoja za mpira kuchambua man city Vs real Madrid huna hoja kabisa kwani umezidiwa kila kitu
Zaidi utaishia kusema vitu hewa sijui historia ,Sasa historia inacheza ?
Hii football bruh, chill. Real Madrid beat European giants like PSG and Chelsea to reach semi final in the same sitiuation all of you didn't believe it. Wote mkasema ni bahati. Kwanini always bahati ni kwa Real Madrid tu, kwanini sio Roma au Arsenal?
Last game, City had it all on the pitch and Real Madrid played miserably in defense and yet they managed to score three goals. Don't underrestmate them, even Guadiola is under preasure right now because he knows who are Real Madrid in the Bernabeu. Acha matusi tusubiri tuone.