Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Niondoleeni hawa citizen ili may 28 majogoo tunyanyue kwapa. Citizen ndio kikwazo kikubwa kwetu. Huku na kule pl
Hili ni dua la kuku kamwe halimpati mwew
hawa kichapo hakikwepeki tena kisichopungua goal 2 na may 28 tunawashika sawasawa.
 
Hii game ilitupasa kucheza defensive kwa wachezaji wetu wengi wana fatique na injury kutokana na ufinyu wa kikosi. Just imagine man city hapo hana majeruhi kikosi kilichopo njr nacho cha moto
 
Hii game ilitupasa kucheza defensive kwa wachezaji wetu wengi wana fatique na injury kutokana na ufinyu wa kikosi. Just imagine man city hapo hana majeruhi kikosi kilichopo njr nacho cha moto
Cancelo,Walker ni majuruhi mkuu acha uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…