Kutokukumbuka ni ishara kwamba mlikabiliwa na ukame wa ushindi dhidi yetu, ilikuwa mwaka 2019 - tafakari, mechi ya mwisho - mlikuwa kwenye kiwango cha kawaida, mlionekana kukamia tu, REAL kumkosa BENZEMA lilikuwa ni pigo, na CARLO kuchezesha timu bila namba 09 "no striker" ilikuwa ni mbinu butu 'si rahisi kupata magoli'
Umeona e, kwa hili tupo pamoja, mimi pia huwa naunga mkono timu za ligi ya SPAIN, mashabiki na vyombo vya habari EPL wanajua kukuza mambo sana