Leo vijana watavaa ule uzi wetu wa tatu wa Nyeusi, hii ni kuazimisha miaka 125 toka kuasisiwa kwa Real Madrid, na Barcelona wao watavaa uzi wao wa rangi ya njano.,
Dembele anamfanya anachotaka, hata goli la kwanza limetokea upande wake, nimeshangaa badala aende kumbughudhi Dembele asipige mpira yeye akamwachia nafasi.,