Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Dogo ni kama homa ya vipindi, Leo yupo poa kesho anazingua., nafasi ya kwanza imemdondokea yeye ila akashindwa kufanya chochote., acha tuone Ancelotti atakuja na jipya gani kipindi cha pili. Ila tukitolewa basi ajue kazi yake inaishia msimu huu.Asensio atoke anatuka
Ungekuwa wewe ndio kocha, kwa moto huu aloingia nao PSG unadhani ungeweza kutoka na matokeo?Dogo ni kama homa ya vipindi, Leo yupo poa kesho anazingua., nafasi ya kwanza imemdondokea yeye ila akashindwa kufanya chochote., acha tuone Ancelotti atakuja na jipya gani kipindi cha pili. Ila tukitolewa basi ajue kazi yake inaishia msimu huu.
Hao madogo tatizo utozi mwingi sana.acha wanyookePsg kwisha habari yenu,mbapee na nymar utoto mwingi
Hiyo ndio Real MadridPsg kwisha habari yenu,mbapee na nymar utoto mwingi
Wamefungwa ndugu yangu,pole sanaHawa psg wamefungwa kweli?
.Mbape piga hawa wahuni, zifike hata 3 au 4.
Pole kwa comment yako, next time usirudie tenaHakuna cha mlima mrefu kupanda, hapa mmeshaaga kabisa mashindano.
Habari... una habari ganiUngekuwa wewe ndio kocha, kwa moto huu aloingia nao PSG unadhani ungeweza kutoka na matokeo?
Mtu kama Mbappe na Neymar na Messi unataka uwakabaje?
Sent using Jamii Forums mobile app