What a come back., jamaa walipata goli wakarudi nyuma wote., so uwezekano wa kupata goli ndani ya box ni shida so vijana wameamua kupiga nje ya box.
#HalaMadrid
Kiukweli Leo team imecheza vizuri, sio kama game tatu nyuma zilizopita., kila kitu kilienda Sawa, tuombe mambo yaende hivi hivi game inayofuata dhidi ya PSG (wao Leo wamefungwa goli moja bila dhidi ya Nice, walikuwa a ugenini)
Endapo vijana watacheza kama jana, basi tutatoka na kitu, ila shida ni kwamba tutakosa huduma ya Casemiro na Mendy, wakati huo huo tukisubiri kuona Kroos atakuwa na hali gani.,
Sema hata pale kati akisimama Valverde, Camavinga na Modrić bado itakuwa poa tu, kwanza hata aina ya mpira tunaohitaji kucheza wa ku press high itakuwa poa kwasababu vijana huo uwezo wanao.
Mpka sasa sijajua upande wa kushoto Ancelotti atau-cover vipi, ila acha tusubiri tuone itakavyokuwa.