PSG full squad including Neymar, Mbappe and Messi, jana wamepigwa 3 na Nantes kama wesimama. Mimi naamini Real Madrid wakicheza game ya mpangilio wale bado tunao japo wanaongoza goli moja
Sevilla kadroo 1-1 na Espanyol, kwahiyo sasa tupo on top of the table with the gape of 6 points. Tusipobeba hii ndoo mwaka huu itakuwa maajabu ya 8 ya Dunia
Our starting XI for today match : Thibaut Courtois; Dani Carvajal, Eder Militao, Nacho, Ferland Mendy; Luka Modric, Casemiro, Toni Kroos; Marco Asensio, Karim Benzema, Vinicius
Huu umakini wa hapa mbele bado haujakaa sawa sawa...tunamchukulia poa sana huyu kipa wao(Luca) wakat ni mzuri,hatumjaribu kwa umakini lakin pia hata mipira haikai mbele huku.

Juzi Ancelotti kwenye press conference aliahidi mabadiliko ila sioni alichoahidi so far.,
Casemiro sijajua kama amechoka ama ndio uwezo umepungua ama ni nini., kwasababu ninaona anapiga pass mkaa nyingi sana.

Upo sahihi,casemiro amechoka...unajua kuwa kwenye peak kwa muda mrefu nako ni issue,huyu sa hv anakaba sana na macho na akipata mpira anatoa pass ili mradi mpira utoke mguu kwake.
Timu inacheza hovyo. Terrible style of playing, poor game concentration, everything is terrible.. Tungekua tunacheza na timu makini sahizi tungeshapigwa za kutosha.